Angalia hicho chakula kwanza. Sio wa kwetu huyoSjui anajisafishaje
wapi akitoka kunya au?Sjui anajisafishaje
Nilitaka kufaham wanawakee nyie mnajiita waremboo mnakwamaa wapi mwanamkee unakuwa na mikuchaa kama shetani unafugaa kuchaa mpaka kula inakuw taabu kwenu urembo gani wa hivyo View attachment 1223187Analocho chenyewe hakieleweki kabisa ni aina gani . kiufupi.... hakuna kitu hapo ni full kinyaa... unategemea nini mwanamke mwenyewe nadhani ni brand ya BUZA maana hata hizo kucha haziko kiustadi
π π π π π π π kama shumileta
Groves? Mateso hayo yote ya nini?KUCHA za kubandika hizo, na sio za kufuga Kiongozi.
Msafi wa kucha za kubandika ukitaka kumchunguza, fanya hivi:-
Kamata KIGANJA chake cha MKONO, kisha anza kukagua KIDOLE kimoja baada ya kingine kwa nyuma.
Ukiona KUCHA za Asili kwa Nyuma zipo Safi, basi ujue huyo anazisafisha.
Na ukiona CHAFU, au zina rangi za ajabu ajabu ujue hapo USAFI sifuri.
Na kwa anaejali usafi wa KUCHA, muda wa kufanya USAFI au KUPIKA, au shughuli zingine zozote za Nyumbani za kutumia MKONO/MIKONO huwa wanavaa GLOVES
Sio lazima awe wa kwetu cha muhimu ni usafu tu ndio message iliyopangwa kuwa deliveredAngalia hicho chakula kwanza. Sio wa kwetu huyo
Labda huko kwenu.Sio lazima awe wa kwetu cha muhimu ni usafu tu ndio message iliyopangwa kuwa delivered
Hata Mimi sijawahi kukutana na demu wa type hii but I do believe watakuepo na huyu hawezi kuwa mwanamke hili ni jini tena jini sambusaLabda huko kwenu.
Me huku nilipo sijawai ona watu wa dizain hiyo