Wanawake jifunzeni kitu kingine hapa kwa mama yake Ronaldo

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Je wajua kuwa Cristiano Ronaldo hakutakiwa kuzaliwa Na mama yake ?

Alipogundua kuwa ni mjamzito alienda kwa Daktari kwa ajili ya kutoa mimba, kwa sababu familia yao ilikuwa masikini kiasi kwamba hawakuruhusu wapate mtoto mwingine.

"Nilipokwenda kwa daktari, niliona kwamba skuweza hata kumudu gharama za kumlea Cristian Kwa hiyo nilijaribu kutoa mimba aikuwezekana nilikunywa kiasi kikubwa cha pombe na kufanya mazoezi bila kunywa maji , lakini hakuna chochote kilichofanya kazi, na skujua kuwa mtoto wangu atakuwa mchezaji bora wa mpira duniani"

๐ŸŽ™๏ธ Amesema: Maria Dolores dos Santos Viveiros da Aveiro. Mama Wa mchezaji Wa Al Nassr FC Cristiano Ronaldo.

GOAT ๐Ÿ๐Ÿ.
 
Attachments

  • FB_IMG_17195564345032797.jpg
    FB_IMG_17195564345032797.jpg
    167.8 KB · Views: 4
Sio Kwa wote inaweza kuwa na the same impact.

Mbona hata wewe walitaka kuku-ABORT ikashindikana ndio maana ukatoka kama ROBOT
 
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Je wajua kuwa Cristiano Ronaldo hakutakiwa kuzaliwa Na mama yake ?

Alipogundua kuwa ni mjamzito alienda kwa Daktari kwa ajili ya kutoa mimba, kwa sababu familia yao ilikuwa masikini kiasi kwamba hawakuruhusu wapate mtoto mwingine.

"Nilipokwenda kwa daktari, niliona kwamba skuweza hata kumudu gharama za kumlea Cristian Kwa hiyo nilijaribu kutoa mimba aikuwezekana nilikunywa kiasi kikubwa cha pombe na kufanya mazoezi bila kunywa maji , lakini hakuna chochote kilichofanya kazi, na skujua kuwa mtoto wangu atakuwa mchezaji bora wa mpira duniani"

๐ŸŽ™๏ธ Amesema: Maria Dolores dos Santos Viveiros da Aveiro. Mama Wa mchezaji Wa Al Nassr FC Cristiano Ronaldo.

GOAT ๐Ÿ๐Ÿ.
SIYO KANUNI.
 
Sijawahi kuelewa kwanini mwanamke asimamishwe barabarani akubali wito,atongozwe,ratiba ya kukutana na aliyemtongoza ipangwe still awe na nafasi ya kwenda aende akachanue mapaja kifanyike kitendo cha ngono akijua kabisa mimba na mengineyo yote tarajiwa na yasiyotarajiwa yanaweza kutokea lakini aende akafanye kitendo cha uuaji kama kutoa mimba.

Wengine hubahatisha hadi ndoa na humo humo kwenye ndoa hufanya mauaji hayo,kila mtoto anayetungwa ana sababu za kutungwa kwake iwe ni kwa bahati mbaya au nzuri
 
Asa hapo waige kutoa mimba au maana hapo angekua na hela tuh mpk saiv messi angekua bdor 11 na mataji mengine kibao tub
 
Bongo mimba isipotoka Toto linakuja kua paja rodi mmbwa mwitu
 
Sijawahi kuelewa kwanini mwanamke asimamishwe barabarani akubali wito,atongozwe,ratiba ya kukutana na aliyemtongoza ipangwe still awe na nafasi ya kwenda aende akachanue mapaja kifanyike kitendo cha ngono akijua kabisa mimba na mengineyo yote tarajiwa na yasiyotarajiwa yanaweza kutokea lakini aende akafanye kitendo cha uuaji kama kutoa mimba.

Wengine hubahatisha hadi ndoa na humo humo kwenye ndoa hufanya mauaji hayo,kila mtoto anayetungwa ana sababu za kutungwa kwake iwe ni kwa bahati mbaya au nzuri
Mkuu na wanaume wanaokataa ujauzito au watoto au kukimbia malezi ya watoto umewahi kuwaelewa? Yaani mwamaume anatongoza, na kuhonga anahonga, anakwenda kulala na mwanamke akijua kabisa kuwa mimba inaweza kutungwa halafu inapokuwa hivyo anakataa au mtoto akizaliwa anakataa kumtunza!
 
Habari ziwafikie wapiga punyeto na watumia condoms, wanaua ma-Ronaldo wengi sana
 
Maudhui yaliyolazimishwa tu!

Mahitimisho yaliyofikiwa, hayatokani na data linganifu na upembuzi yakinifu!

Kwamba watoto wengi wanaotokana na mimba zilizogoma kutolewa basi hukua na kuwa na vipaji vya kipekee! ๐Ÿ˜ณ

...na mada zako nyingi unazoanzisha hapa JF ama ni malalamiko kuhusu elimu butu ambayo haijakusaidia kitu; au ni hizi zenye maudhui na mahitimisho ya kulazimisha yasiyotokana na mantiki.

Binafsi nina wasiwasi sana na elimu yako; na hasa uwezo wako wa kujenga hoja zenye mantiki bila msigano wa kimisimamo na mkurupuko wa kifikra.

Naendelea kukufuatilia ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ–
 
Back
Top Bottom