Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
wengine tunapenda wanawake wenye vitambi .Ukweli ndio huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali
Sahih kbsawengine tunapenda wanawake wenye vitambi .
vina joto lake asee waheshimiwe na wasibugudhiweView attachment 2427837
😅 Duhwengine tunapenda wanawake wenye vitambi .
vina joto lake asee waheshimiwe na wasibugudhiweView attachment 2427837