Wanawake kujifungua kwa operesheni

ABDUL JIRANI

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
176
Reaction score
52
Hivi kwa nini dada zetu siku hizi wanajifungua sana kwa operesheni tofauti na zamani
 
Eti wanataka ikulu kubane na pia wasipate maumivu ya kujifungua.wakati huohuo hawana mazoezi na lishe nzuri hivyo nguvu inakuwa hamna ya kupush.
 
Zipo sababu kama tatu hivi;
1. Wengine hupenda ili nyeti zao zisipanuke, wachache kukwepa maumivu
2. Watu wengi hatuna mazoezi, kazi tunazofanya hazichangamshi misuli hivyo kukosa pumzi. Hii humuwia ngumu mwanamke kupushi pindi ajifunguapo. Ulishaona swala/mbuzi anashindwa kujifungua?
3. Kula vyakula vya protini na mafuta, hivyo mtoto kuwa mkubwa awapo tumboni. Sasa mtoto akiwa mkubwa plus mdada hana pumzi kwa kukosa zoezi, lazima tu apitie kisu. Wazee zamani walikuwa na falsafa zenye akili; kwa mjamzito nyama za ndani ni mwiko, akila mayai mtoto atanyonyoka nywele, etc. Iliwasaidia mama zetu
 
mtoto anayezaliwa kwa upasuaji kama mimi tuna iq ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…