Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jun 13, 2011 #1 Hata lugha na mila wanajua zaidi za upande wa mama kuliko za baba. Tena wanyakyusa na wachaga ni soo kwenye medani hiyo
Hata lugha na mila wanajua zaidi za upande wa mama kuliko za baba. Tena wanyakyusa na wachaga ni soo kwenye medani hiyo
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Jun 13, 2011 #2 Watoto hawaporwi ila mapenzi na malezi bora ya wamama ndio huwaleta karibu karibu. Watoto watakuwaje karibu na baba anayelala bar? Akirudi nyumbani watoto wanajificha?
Watoto hawaporwi ila mapenzi na malezi bora ya wamama ndio huwaleta karibu karibu. Watoto watakuwaje karibu na baba anayelala bar? Akirudi nyumbani watoto wanajificha?