Wanawake kukesha bar mnatia aibu!!!!


Hii sredi ilipaswa iwe "wanandoa kushinda baa ni aibu" (samahani kwa wale ntaowakwaza!!). Sasa kama mume anarudi alfajiri mkewe akarudi midnight kuna ubaya? Manake watoto ni wetu sote, tena wana jina la baba yao!Mfumo dume huu, kwa kiasi fulani nafikiri mwanaume kama kichwa cha nyumba uta-define hulka ya mkeo! Sio kawaida sana kama mume unarudi nyumbani mapema mkeo arudi late!! Jeuri, uzururaji, ulevi etc ni moulding inayotokea katika harakati za ku-cope na mazingira!
 
..............Kwani uliambiwa mwanamke mjamzito haruhusiwi kwenda outing/kujirusha? Kama ujauzito wako hauna matatizo yoyote kujirusha/club ni kama kawaida.
😛reggers: preggers are advised not to drink or smoke... au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…