Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndani ya wiki mbili au moja tu unaweza pata majibu mazuriAhsante kwa ushauri, je ni kila siku kwa muda gani ntaanza kuona matokeo ya harufu nzuri?
Kwani una harufu mbaya ?Ahsante kwa ushauri, je ni kila siku kwa muda gani ntaanza kuona matokeo ya harufu nzuri?
Thank youu, ngoja nitumie then nijinuse after 2 weeksNdani ya wiki mbili au moja tu unaweza pata majibu mazuri
Sijui harufu kama ni nzuri au mbaya bado sijapata mtu wa kuninusaKwani una harufu mbaya ?
Ahsante kwa ushauri, je ni kila siku kwa muda gani ntaanza kuona matokeo ya harufu nzuri?
Uzuri ni dawa na ni kinywaji so haina gharama hasi😃Ukisikia haya nenda na goole kuangalia, la utafanyishwa kila jambo.
😂😂😂 fanya ivyoThank youu, ngoja nitumie then nijinuse after 2 weeks
Umenisusa mchumbaNani ana UTI hakuna mie inanukia keki boxi wewe halafu nimekumiss Mwachiluwi
Hakuna anae ongopa uliza waliwai tumia mzee ukutumwa kusoma arts na ujui sanaaaUkisikia haya nenda na goole kuangalia, la utafanyishwa kila jambo.
Uzuri ni dawa na ni kinywaji so haina gharama hasi😃
Sasa mtindi wa Nini!Sijui harufu kama ni nzuri au mbaya bado sijapata mtu wa kuninusa
Hakuna anae ongopa uliza waliwai tumia mzee ukutumwa kusoma arts na ujui sanaaa
Dr Mwachiluwi .Hellow
Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha kila siku ilo jasho la kwabibi litakata
Unakuta manzi mrembo afu kwabibi kunatema hii sio sawa ushauri wa bure ata kwa sisi wanaume kama unakijasho kila cha kwapa mtindi unatibu
Kwa wadada mpaka fangus za kwa bibi ukitumia mtindi hazitokusumbua
Mtndi maziwa mgandoSasa mtindi wa Nini!
Usisahau kuleta mrejeshoThank youu, ngoja nitumie then nijinuse after 2 weeks
Dr from kimbiji 😂