Ndevu kwa mwanamke ni kwamba homoni zimehuni, only that
utajiri hauji kirahisi hata siku mojaWakati tukiwa wadogo tuliamini kuwa ukipata udevu mmoja tu wa mwanamke basi umeukata. Kuna jamaa mmoja bibi yao alikuwa na ndevu basi tulikuwa tunawaomba watuibie walau ndevu moja. Laiti tungepata labda tusingewa malofa!But....ni ujinga tu!!
Inasemekana kisayansi,ndevu kwa kinamama hutokana na ulaji wa vyakula vya artificial/vya kisasa.na watoto wanaokula vyakula hivyo ni wale wanaotokea familia bora!Wenda ndo maana wengi wenye ndevu wanazo kiasi!Nimevuta picha ya wenyewe ndevu ninaowafahamu kweli ni kama naona wanavihela
utajiri hauji kirahisi hata siku moja
Interesting:! na wanaume wasio na ndevu?
Je kuna uhusiano gani kati ya mwanamke mwenye ndevu na utajiri? Nakumbuka miaka ya nyuma, mkoani Mbeya wanawake wenye ndevu walikuwa wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha na walipo patikana walikutwa ni maiti na videvu na sehemu zao za siri vikiwa kimekatwa na kinyofolewa

Labda wanawake wazamani, lakini wengi wa sikuhizi ni mikorogo wanayopaka ndo inawaletea vinyweleo vingi ndevu, na pia miili kupasuka ile michilizi kama ya unene.