Kuna kautafiti kamefanywa eti wanawake wanapenda sana kuhudumiwa na madaktari wanaume sababu ni wapole na wanawajali. Je wadada/wanawake hii ni kweli mnapenda kuhudumiwa na madaktari wanaume?? **** sababu zaidi ya hiyo hapo juu??
Vipi kuhusu wanaume,ungependa uhudumiwe na Dr. KE/ME?