Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mweupe?Sijawahi kujua...kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi...wanaume weupe tuna mini
Naomba kujuzwa...nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna???
Hata hujakosea ni kweli wanaumwe weupe hampendwi sana na wanawake kama wanavyopendwa wanaume weusi. Binafsi siwapendi ila naomba nisiseme kwa nini siwapendiSijawahi kujua...kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi...wanaume weupe tuna mini
Naomba kujuzwa...nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna???
Uko mkoa gani uje uoneshwe ambacho weusi wanacho ambacho huenda wewe huna!