Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Sijawahi kujua...kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi...wanaume weupe tuna mini

Naomba kujuzwa...nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna???
Hata hujakosea ni kweli wanaumwe weupe hampendwi sana na wanawake kama wanavyopendwa wanaume weusi. Binafsi siwapendi ila naomba nisiseme kwa nini siwapendi
 
sizani labda kwa wanawake wa kizungu kwa wabongo no
 
Hivi bado wadada wanafuata rangi za watu,hayo mambo yatakua mikoani, huku mjini its all about benjamin/mawe/fedha/ pesa/ sisi tunarekebisha bila ata ya kujali rangi ya ngozi, kwanza sijui ata nina rangi gani ya ngozi, haina kazi huku mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…