Acheni kina dada zetu wapambane, binadamu akila kwa jasho lake sio jambo la aibu, ni heshima kubwa, hata kwa Maulana. Iwe ni housegirl, garden boy au wale wakukoroga zege. Aibu ni kwa wanaowabagua si kwa wachapakazi kama wao. Laana kubwa ni pale ambapo mtu na akili zake anazamia kwenye nchi za watu kuomba omba mitaani na kuchafua miji.