Wanawake kutokwa na Ute mwingi wakati wa tendo la ndoa husababishwa na nini?

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Wakuu hodi humu,

Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na ute mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
 
mbunye kavu nayo inaboa. raha ya mdinyo ni pale mbunye inatoa ute na kulowa vizuri kwa ute wa kutosha (ule ute colorless).

Kwa iyo case yako, ute kama maziwa mtindi? au unamaanisha utoko kama machicha ya nazi? anaweza kuwa na fungus au uchafu tu
 

Ukiwa mwanaume utaelewa bro, wala usijali. Meanwhile, unatakiwa uwe unaangalia..


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…