Wanawake kuvaa pete kwenye 'index finger' inaashiria nini?

Wanawake kuvaa pete kwenye 'index finger' inaashiria nini?

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
953
Reaction score
747
Habari zenu wadau, Happy New Year

Siku hizi kuna kamtindo ka wadada maeneo mbalimbali ya Tz mfano hata hapa Dar hupendelea kuvaa pete lakini pete hiyo ukiichunguza unakuta si ya ndoa inafanana fanana na springi ndogo. Mara nyingi wadada hawa unakuta wamevaa pete hizo kidole cha index (hiki ambacho mtu akikuudhi unamnyooshea) mwenye kujua maana yake afunguke🏃🏃🏃
 
Mm napenda wale wanaovaa pete kwny vidole vya miguu
 
These are confused individuals who wants attention!

Kuna vidole vya mguuni pia

Its their choice but thats not my preference kabisa
 
Pete ni aina ya urembo na fahari ya mwanamke.wapo wanaovaa vidole vyote tu..usiwachagulie maana hata hizi za ndoa siku hizi hazimaanishi ndoa.
 
Back
Top Bottom