Hivi ni kwa nini wanawake WENGI me/hata wawe na pesa kuzidi waumaboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi yeye bado atamuomba hata pesa ndogo ya mswaki.Hivi hii ni asili au nini?Vipato au mishahara yao wanaipeleka wapi?
Hii utaiona kama umetoka auti na mwenzio atazungusha raundi mwanaume tu!!Wapo wachache ambao wanashea na wenzao vipato vyao,lakini hawa wengi ni kwa nini?
hapo kwenye blue hata mimi niliwahi kuhoji wa gf wangu wa zaman kwani yeye alikua anafanyakazi wakati mm nasoma chuo,lakin mara ninunulie chupi,mara apple mara vitu vidogo vidogo...jibu lilikua eti wanawake wanaona unapotoa kitu kwao ni kama unamthamin na wanapenda.
Anyway sijui kama ni kweli au ulikua utapeli tu kama utapeli mwingine,tusubiri kina dada watatujuza vizuri
Njoo kwangu nitakununulia kila kitu ili uhakikishe kuwa sio wanawake wote mabahili
wanawake ndio walivyo mwenyewe nimeshudia ambao nafanya nao kazi salary sawa tukitoka tax nalipa mimi bia nalipa mimi nyama nalipa mimi juzi nikawapa live mkitaka mtoke na mimi mnachangia ngapi? au tuchange sawa kwa sawa, ...... hata aibu hawana
Hivi ni kwa nini wanawake WENGI hata wawe na pesa kuzidi waume/maboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi yeye bado atamuomba hata pesa ndogo ya mswaki.Hivi hii ni asili au nini?Vipato au mishahara yao wanaipeleka wapi?
Hii utaiona kama umetoka auti na mwenzio atazungusha raundi mwanaume tu!!Wapo wachache ambao wanashea na wenzao vipato vyao,lakini hawa wengi ni kwa nini?
Si wanawake wote wako hivo. wanawake wengi tu wanasaidia wanaume zao
Sio kila mtu ni mshamba wewe!Wanawasaidia lakini wakienda mitaani wanawasema waume zao.