Wanawake kuweni na aibu

Wanawake kuweni na aibu

Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela.
Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu?
images (17).jpeg
 
Kama akikutongoza yeye majukumu ya kiume yanabadilika usitegemee ila kama huwa hayabadiliki hela lazima uombwe kama hujiongezi kutoa.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Kama akikutongoza yeye majukumu ya kiume yanabadilika usitegemee ila kama huwa hayabadiliki hela lazima uombwe kama hujiongezi kutoa.
Sijaelewa kwahiyo hata kama akinianza yeye vizinga vipo pale pale sio?
 
Back
Top Bottom