Raia mpya JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 673 Reaction score 1,915 May 6, 2024 #1 Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu?
Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu?
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,840 May 6, 2024 #2 Raia mpya said: Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu? Click to expand...
Raia mpya said: Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu? Click to expand...
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 May 6, 2024 #3 Kama akikutongoza yeye majukumu ya kiume yanabadilika usitegemee ila kama huwa hayabadiliki hela lazima uombwe kama hujiongezi kutoa.
Kama akikutongoza yeye majukumu ya kiume yanabadilika usitegemee ila kama huwa hayabadiliki hela lazima uombwe kama hujiongezi kutoa.
Raia mpya JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 673 Reaction score 1,915 May 6, 2024 Thread starter #4 Half american said: Kama akikutongoza yeye majukumu ya kiume yanabadilika usitegemee ila kama huwa hayabadiliki hela lazima uombwe kama hujiongezi kutoa. Click to expand... Sijaelewa kwahiyo hata kama akinianza yeye vizinga vipo pale pale sio?
Half american said: Kama akikutongoza yeye majukumu ya kiume yanabadilika usitegemee ila kama huwa hayabadiliki hela lazima uombwe kama hujiongezi kutoa. Click to expand... Sijaelewa kwahiyo hata kama akinianza yeye vizinga vipo pale pale sio?
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 May 6, 2024 #5 Mkuu wanawake zitawaua Hela sisi utelezi ndio utatuua