Wanawake kuweni wasafi

Sijui kwanini mnapenda kuwasimanga sana wanawake!! Niliwahi hama siti baada ya kukaa na mbaba/mkaka anatoa harufu sijui ya kitu gani. Aloooh!! Nilimwambia konda kuliko niendelee kukaa pale ni bora nikatize safari. Ikabidi nikae pale kwenye siti ya konda.

Kama mnahimiza usafi himizeni kwa wote sio kuwashupalia wanawake kanakwamba wanaume mnapaswa au mnayo hatimiliki ya kuwa wachafu.
 
Gari lilikua halijajaa na umekaa na mtu ananuka kwanini ukuhama siti nyingine acha sound....demu ulimuelewa sema gia z kumuingilia ulikosa ukaamua umpake matope...kuna demu mchafu?! Ebu mpe dk15 aingie bafuni halafu atoke utakuja kunambia kama hujamsahau
 
KKunawatu wanazingua kinoma..

Mtu ananuka kama chuma kilichopata kutu.

Sema pia Umaskini na Uchafu ni vitu viwili vinavyoenda sawa..ila sio kila mwenye unafuu ni msafi.
Kuna watu wana uwezo ila bado ni wachafu mtu kukosa pesa siyo kwamba ndiyo atakuwa mchafu ni mazoea ya mtu aliyojiwekea ndiyo maana tunaambiwa tuwe na tabia ya kubadili mienendo yetu kila mara.
 
Uchafu ni hulka ya mtu,sio wanawake tu,hata wanaume Yan utakuta mtu anajiweka rafu,sijui hata kama wanaoga kisa kazi anazofanya afu anapanda hivo hivo kwenye usafiri wa umma hata awaonei huruma wenzake kwahiyo harufu na wengine wananuka gongo ujumlishe na kikwapa hiyo harufu sasa hatar sana!
 
Usiombe ukutane na hawa wadada vibonge weupe fulani hivi weee. baadhi wana kaharufu kao fulani kahovyo utafikiri mtu alietafuna kuberi. akiondoka tu geto inabidi ukatose shuka zote majini.
 
Usiombe ukutane na hawa wadada vibonge weupe fulani hivi weee. baadhi wana kaharufu kao fulani kahovyo utafikiri mtu alietafuna kuberi. akiondoka tu geto inabidi ukatose shuka zote majini.
..hii harufu mara nyingine hata ufue vipi inakaa mda....au room kuna doda hata wiki...au ukute ulichezea k lake na vidole..duuuh..haitoki...hata uoge wiki...wanawake viumbe hatari sana..ila wa aina hii unakuta ana vimelea vya maambukizi...haswa wale wanaotoa nyuma...mara nyingi wanaoza mbele...maana akiliwa nyuma na mbele lazima atoe....unakuta mavi yanatolewa nyuma yanawekwa mbele...na akiendelea hivi lazima anaoza mbele...
 
Ni kweli kuna wanawake wachafu, lakini sababu kubwa ya magonjwa ya wanawake sehem za siri ni wanaume wao, unakuta mwanaume anatoka na magonjwa tofauti kutoka kwa wanawake tofauti analeta nyumban, na kwa wanawake magonjwa ya sehem za siri yanaonekana haraka kuliko kwa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…