Wanawake: Kwa Nini Siku Hizi Hamtuombi Hela??

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,098
Reaction score
3,038
Salam kwenu wana chit-chat.

Siku hizi kuna tabia ambayo mimi kama mwanaume mtafutaji siifurahii.

Wanawake hawatupigi mizinga kama zamani.
Wengi tulishazoea haipiti week baby naomba hela ya kodi imeisha, baby nataka kwenda saloon, baby twende Z'bar weekend, baby naomba hela ya manicure..

Yaani mlikua mnatupa hamasa ya kutafuta.

Ila wanawake kipindi hiki wako kimya kwenye suala la hela, yaani haombi hela hata pale anapokua na tatizo la kweli ataanzia mbali na samahani nyingii. Kamooon ladies.

Tuombeni hela! Hayo mambo ya hali ngumu nyie hayawahusu...
Tuombeni helaa.. Jamani tuombeni helaa mtupe nguvu ya kutafuta. [emoji7]
 
Umesema kweli mkuu, hata hivyo ni vizuri waendelee tutatue shida za msingi
 
Te te te te te ! Mada moto moto moto ya ladies kuomba hela yaonenekana walikughasi sana mwana Jf yaonekana unawatwanga hasa!
 
Kutokana na kauli mbiu ya hapa kazi tu hatuna muda wa kuombaomba
 
tunapewa na wasiosubiri unandike barua ya maombi kama upo mahakamani.

nyie endeleeni kuzibania mwisho zitaozea
 
Kuna mmoja nilichukua namba tukachati ndani ya siku mbili hata hajanijua naitwa nani akanichapa kirungu!
 
Hata Mimi hili LA Siku hizi LA Kutokuombwa Hela Sijalifurahia Kabisa....
Mwanamke ambae atakuwa Rafiki yangu kama Huniombi Hela Kaa na Mimi mbali Kabisa...mxiuuu
Mi natafuta Hela kwa Ajili Yenu...
Cha Msingi Uwe na Interval Nzuri ya Kuomba Mfano Mara 3 kwa wiki,Hii iko Safi,
Nawapenda wadada wanaoniomba Pesa Huwa ni Warembo Balaa....
Hela zako nenda Kajengee....Mimi Kazi yangu ni kukufanya Uwe Mrembo muda wooote....
Wadada wote mnaopenda Kuombe Pesa Kuleni like...nawapenda sana
Najisikia Mwanaume kamili kuombwa Pesa na Mrembo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…