Wanaume Tunapitia Comments Maana Hatujaulizwa Sisikwanini mmeamua kuvaa nguo za kubana tu?!
Ndilo dukuduku langu. Si wake za watu, si mabinti, si wasichana wadogo si watoto wadogo wakike! si gauni, si blauz, si sketi, si suruali! Si kanisani, si kazini, si mtaani, si mjini si kwenye sherehe! jambo moja kwenu linafanana, NGUO ZA KUWACHORA! na hata mnatembea au kuinama kwa shida!
Mmekumbwa na nini, hamuoni haya? Hamjui mnatupa tabu wanaume? wote mnajiuza?
Humu tunavaa tu miguo mipana pana atuache hebu..!Kwa kimya hiki kutoka kwa wanawake ni dhahiri hamna anayevaa nguo za kubana humu. Teh teh.
Kabisaaa. 😀😀Humu tunavaa tu miguo mipana pana atuache hebu..!
C'ssy nimekumiss halafu.!
Kila mtu apambane na hali yake
Itakuwa labda hawana chura wa kuvalia hizo leggings🤔🤔🤔🤔Kwa kimya hiki kutoka kwa wanawake ni dhahiri hamna anayevaa nguo za kubana humu. Teh teh.
Kama cha kwenye avatar yakoNawasubiri comments za wanawake wenye kuvaa vibanio
Ni kweli hili and I have opted to believe youKwa kimya hiki kutoka kwa wanawake ni dhahiri hamna anayevaa nguo za kubana humu. Teh teh.
HakikaKama cha kwenye avatar yako
EwaaaHakika
Basi watembee uchi kabisa