kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,658
Ni kwelii mkuu mbususu zina gharama kubwa sanaMkuu dem akija inabidi bajeti iongezeke tofauti na ulivopanga. Ndio maana sikutaka mazoea sana, unaweza usifikie malengo yako kwa kuendekeza mbususu.
[emoji33]Mkuu dem akija inabidi bajeti iongezeke tofauti na ulivopanga. Ndio maana sikutaka mazoea sana, unaweza usifikie malengo yako kwa kuendekeza mbususu.
Umenicheksha sana hii jf hiiiiiiiiiiiSasa umenikataa nikuchekee ili iwe nini, si bora hata nimekuchunia ilitakiwa tukikutana nikumwagie mchanga...
Na mwanamke akitaka mchonge mzinga kabisa je??.Mwanaume uliekamilika unaanzaje kukataa demu ...............piga tembea
Yaani naanzaje kumkataa Evelyn salt.Sasa umenikataa nikuchekee ili iwe nini, si bora hata nimekuchunia ilitakiwa tukikutana nikumwagie mchanga...
Si ndio hapo sasa jameni, labda kama kuna matatizo ya kiufundi....Yaani naanzaje kumkataa Evelyn salt.
Hajui huyo, halafu hakuna stability thabiti kwenye mahusiano kama mwanamke akikuweka kwenye moyo wake. Mwanaume Upendo unakuja alipetiwa petiwa, kupewa kauli tamu na kuhudumiwa vizuri.Si ndio hapo sasa jameni, labda kama kuna matatizo ya kiufundi....
Tunatofautiana...sio kila mwanamke atakae nifata kuniambia tuwe kwenye mahusiano itakuwabalika...hata wewe huweziHajui huyo, halafu hakuna stability thabiti kwenye mahusiano kama mwanamke akikuweka kwenye moyo wake. Mwanaume Upendo unakuja alipetiwa petiwa, kupewa kauli tamu na kuhudumiwa vizuri.
Nyie siyo wa masihara mnahitaji kutikiswa tu kwelikweliSasa umenikataa nikuchekee ili iwe nini, si bora hata nimekuchunia ilitakiwa tukikutana nikumwagie mchanga...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sa kwanini umekuja kunitangaza ukuWanawake wamekuwa wajasiri sanaView attachment 1830904
Labda ulipendwa kinafiki, yaani alikuwa anapitisha muda tu, na wewe! Kwa sababu sio hali ya kawaida.mkuu sorry bajeti unayotumia weekend akiwepo ni sawa na ukiwa pekeyako?.mimi kipindi icho nikiwa na demu weekend pesa ilikuw inatembea vibaya mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio hapo sasa jameni, labda kama kuna matatizo ya kiufundi....
[emoji4][emoji4]Mkuu dem akija inabidi bajeti iongezeke tofauti na ulivopanga. Ndio maana sikutaka mazoea sana, unaweza usifikie malengo yako kwa kuendekeza mbususu.