Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Ukweli uko pale paleWanawake hawapo logical hii ni Asili wao hutumia ubongo wa kulia na wanaume hutumia kushoto
Ila mkiwa Mwnamke na mwnaume mnafanya Kazi huwa inaenda vizuri Sana mkiwa mnashirikiana .
Ila shida itatokea mwanamke awe ndo mfanya maamuzi hapo ataharibu vibaya Sana .
Naam pride muhimu Kwa mwanaumeAaaah me tests za kijinga ili kuona nitasemaje au kunipima huwa sijibu kama wanavotarajia
Wanasema ukitaka kumuelewa mwanamke Kama mwanaume utakosea the same ukitaka kumielewa mwanaume Kama mwanamke utakosea.Ukweli uko pale pale
Wanasema ukitaka kumuelewa mwanamke Kama mwanaume utakosea the same ukitaka kumielewa mwanaume Kama mwanamke utakosea.
Wanawake 99% hapa duniani wanapenda senseless donkey
Ambaye atavumilia tabia zao mbaya, dramas , n.k
Nashangaa watu wanawaweka katika siasa nadhani haya ni makosa
Me naona a woman hafai kuwa leader popote pale
Since sijaona nchi kubwa iliyoendelea sana inayoongozwa na mwanamke
Acha upumbavu bwana mdogouna akili za kike
Maniga mna mihemko kama wanawake zenu tuPunguza mihemko kabla ya kucomment kwenye mitandao ya kijamii
Lakini pia nchi nyingi maskini zinaongozwa na sisi wanaume nchi ambazo zinaongozwa na wanawake ni chache sana tuseme hazifiki hata 5 , lakini nchi maskini ni nyingi na tunaongoza sisi. Hapo utagundua kuendelea kwa nchi sio uongozi tu maendeleo huchangiwa na mambo mengiMe naona a woman hafai kuwa leader popote pale
Since sijaona nchi kubwa iliyoendelea sana inayoongozwa na mwanamke
Lakini pia nchi nyingi maskini zinaongozwa na sisi wanaume nchi ambazo zinaongozwa na wanawake ni chache sana tuseme hazifiki hata 5 , lakini nchi maskini ni nyingi na tunaongoza sisi. Hapo utagundua kuendelea kwa nchi sio uongozi tu maendeleo huchangiwa na mambo mengi
Sijaongea mambo ya usawa kijana akili zako zipo kwenye makalio na kwenye ubongo uliwekewa kinyesi auUnachotetea haswa ni nini?
Kama sisi tungekuwa sawa basi mkeo angekuwa anakuingilia😳
Utafiti wako umefanyia wapi mkuu kama hauna utafiti unaongozwa na mihemko 90%Mwanaume gani unashindwa kutumia akili kureason badala yake unatumia mihemko.
Hajasema hawapo kabisa, bali ameweka kwa asilimia ya matumizi ya akili ni 75 while mwanamke ni 25. Wacha mihemko
MmmmhLeo mpaka matahira maandazi yatajifanya yana akili kumzidi mwanamke wakati unakuta limeshikiliziwa akili na mke wake huko kufanya mamuzi kwenye mambo makubwa haliwezi😫
Duh.mwenyewe kaongea kwa mihemko😆😆 baada ya kudinywa vizuri
Juzi tu hapa nimekosa pesa kisa mke wa jamaa.Yaani sahau kupata
hela , Biashara na wanawake ni pasua kichwa balaa
Mmmmh
Yes 😂Unabisha nikuoneshe tahira moja😳
Yes 😂