Wanawake kwenye maamuzi: Mihemko 75% na Akili 25%

Wanawake Mzee ni changamoto bad enough rate Yao ya ubinafsi ni kubwa mnooo Yaani hata aweje hiyo kitu lazima iwe inside.
.
😁😁😁
Hapa ndio nachoka akifanya yeye kosa inakuwa sio kosa ngoja ufanye wewe hilo hilo kosa utafikiri kasuku au chiriku kwa kuongea!!!
 
Nime
Nimeikopi for future use.
 
Mimi ni muumini mkubwa sana sa patriarchy. Katika historia tumefundishwa ni mfumo mbaya katika jamii. Lakini baada ya kukua na kupata uelewa wa saikolojia za mwanaume na mwanamke nimegundua patriachy ni mfumo sahihi zaidi kwa jamii.

Ukweli ni kwamba haimbagui mwanamke wala kumpendelea mwanaume isipokua ina-utilize ufanisi wa kila mmoja kwa kumweka kwenye nafasi yake asilia kwa ajiri ya mustakabali wa jamii.

Mfano kiasili mwanaume ni mtoaji, mwanamke ni mbinafsi. Kama kuna wanawake wawili na wanaume wawili pamoja na fursa mbili za ajira. Ukienda na 50/50 ukampa ajira mwanamke mmoja na mwanaume mmoja. Watabaki mwanaume mmoja na mwanamke mmoja ambao ni jobless. Wanawake wote wawili mwenye ajira na jobless watamtaka yule mwanaume mwenye mwenye ajira. Kwaiyo tutabaki na mwanaume mmoja ambae hana wa kumsaidia. Lakini zile ajira zote mbili ukiwapa wanaume wawili kila mmoja atamuoa mwanamke mmoja kwaiyo wote wanne watanufaika
 
Wazungu ndo wametufikisha hapa mkuu

Patriarchy ilibidi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…