Wanawake left handed katika kuandika ni mafundi kitandani

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Wakuu kuna hii information inatrend kwa kitaa yani kwa washikaji na maninja nadhani mtanielewa kuwa hawa manzi/warembo/watoto wazuri/ wanawake wanaoandikia mkono wa kushoto ni hatari sana kitandani huwa wana maufundi naturally. Kwa wakongwe hebu jaribu kushare uzoefu maana hapa najiandakuingia field ili ni prove haka ka opinion.
Nawasilisha wakuu kushare ma experience.
 
Kumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nilikuwa cijajua..................Inabidi nimtafute mmoja niprove............
 
Wakuu kuna hii information inatrend kwa kitaa yani kwa washikaji na maninja nadhani mtanielewa kuwa hawa manzi/warembo/watoto wazuri/ wanawake wanaoandikia mkono wa kushoto ni hatari sana kitandani huwa wana maufundi naturally. Kwa wakongwe hebu jaribu kushare uzoefu maana hapa najiandakuingia field ili ni prove haka ka opinion.
Nawasilisha wakuu kushare ma experience.
Hiki ndo kinachoitafuna Afrika na watu weusi.......
 
Back
Top Bottom