nimecheka sana bby shem lakini hadi mkono wa kushoto hujui unataka picha? ama hujaelewa?picha tafadhali
Aisee [emoji16][emoji38][emoji6][emoji3]mbona mimi naandikia kulia lakini unanijua fika nilivyo mkali kule kunako?
teh teh
Joseverest mwehu achana naePicha ya nini hapo ya wanaoandikia left???
Miss you babyshemnimecheka sana bby shem lakini hadi mkono wa kushoto hujui unataka picha? ama hujaelewa?
wewe huwezi jua ila yeye anajua, msubiri uone majibu yakeAisee [emoji16][emoji38][emoji6][emoji3]
duuuh umenitenga bbyshem acha kabisaThread bila picha hainogiMiss you babyshem
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babyshem tangu upate bby mwingine aaah basi unashineJoseverest mwehu achana nae
baby i miss uunamtafuta tena?
uwiiiii
bbyshem acha kuniharibia sinaga mwingine ni huyu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babyshem tangu upate bby mwingine aaah basi unashine
Wacha weee
jamani bby ujue mie nina wivu mkali shauri yako utanipeleka hospital uck maana sio kwa maneno hayo unayotoababy i miss u
Hahahah nitamtag yule aje huku ohooobbyshem acha kuniharibia sinaga mwingine ni huyu tu
teh teh
sitaki uchonganishi mieWacha weee
Naona mapenzi mubashara...mwendo wa kutag tu kama mahondaw na smart911
Mi nipo..mambo yalikuwa mengi kidogo kibaruaniduuuh umenitenga bbyshem acha kabisa
acha uchonganishi, BTW bbyshem leo umekula kweli?Hahahah nitamtag yule aje huku ohooo
Mimi ndo babyshem OGsitaki uchonganishi mie
teh teh nimechoka balaa ila umenibust aisee naona afadhali now
pambana bbyshem kwa ajili ya vya baadae ...naamin unaelewa vyemaSijakutengaa hataMi nipo..mambo yalikuwa mengi kidogo kibaruani
Nimekula Baby Love Sweetheart Shem[emoji7][emoji8][emoji10]acha uchonganishi, BTW bbyshem leo umekula kweli?
teh teh tuongee yenye maana bhana achana na hayo unayotaka kufanya
Unaibiwaaaaunamtafuta tena?
uwiiiii
wera weraaaa in Arusha voiceOoooh yeeeeeeaaaahMimi ndo babyshem OG