Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
-
- #101
baby I can't explainmbona mimi naandikia kulia lakini unanijua fika nilivyo mkali kule kunako?
teh teh
acha kukazia na wewe bbyshemUnaibiwaaaa
Naelewa babyshem love wangu....unajua vyenye nakupendapambana bbyshem kwa ajili ya vya baadae ...naamin unaelewa vyema
thanks darln maana ile kitu hailezeki atibaby I can't explain
Hunter Hunter ndugu yangu weweUnaibiwaaaa
najua fika bbyshem na uzuri Mr. KK analitambua hiloNaelewa babyshem love wangu....unajua vyenye nakupenda
naona tu anavyonichoma rohoHunter Hunter ndugu yangu wewe
Thread yoyote JF lazima iwe na picha ndio raha ya JFPicha ya nini hapo ya wanaoandikia left???
Isije ukawa unaenda nje ya njia kuu hunterHunter Hunter ndugu yangu wewe
Ndio ukaamua kunifukulia makabuli honeythanks darln maana ile kitu hailezeki ati
teh teh
duuuh yule ni dada ake acha uchonganishiThread yoyote JF lazima iwe na picha ndio raha ya JF
Hunter siamini umepata chombo kipya hata hatushtuani...
Carbamezapine amekupiga chini au umempiga cha mbavu?
najua fika bbyshem na uzuri Mr. KK analitambua hilo
basi nanyamaza bby nimeona nikashtuka nimeokotwa nikiwa chini nikaona acha nikuulize haya manenoNdio ukaamua kunifukulia makabuli honey
Naomba nisifukue makaburi babyshem...we endelea kuamini ni dada
pls don'tNaomba nisifukue makaburi babyshem...we endelea kuamini ni dada
[emoji848][emoji848][emoji848]basi nanyamaza bby nimeona nikashtuka nimeokotwa nikiwa chini nikaona acha nikuulize haya maneno
Ujio wako si salama NAaomba urudi ukaendelee na ile biashara yako ya vumbi la congo nduguπππThread yoyote JF lazima iwe na picha ndio raha ya JF
Hunter siamini umepata chombo kipya hata hatushtuani...
Carbamezapine amekupiga chini au umempiga cha mbavu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]pls don't
Ujio wako si salama NAaomba urudi ukaendelee na ile biashara yako ya vumbi la congo nduguπππ