Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
mimi naandikia yote_[emoji41]
ati bby twende zetu tumuache huyu Joseverest sio mtu mzuriUjio wako si salama NAaomba urudi ukaendelee na ile biashara yako ya vumbi la congo ndugu😀😀😀
Haya sawa kwaherini [emoji1739][emoji2211][emoji2089]Joseverest naomba umuache Kichwa Kichafu kuna mahali tumeitwa gafla
teh teh na unielewe usiendelee kumsumbua
Daaah nyie niosheeeni tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Maumivu yako kwangu huwa mara 1000 sweetienaona tu anavyonichoma roho
😀😀😀😀 ucjal chochote uliza bibiebasi nanyamaza bby nimeona nikashtuka nimeokotwa nikiwa chini nikaona acha nikuulize haya maneno
thanks darln maana ile kitu hailezeki ati
teh teh
Hunter hivi biashara yako umepata hasara nini maana si kwa kuniamkia leo hivi nduguNaomba nisifukue makaburi babyshem...we endelea kuamini ni dada
Hongera Hunter kama umeamua kutuliaNimetulia njia kuu kwa baby mama jje's
Hamna hasara niliyopata...biashara inaendelea vyema..mwezi wa 9 niliipeleka Arusha now nimerudi Daslam kuiendelezaHunter hivi biashara yako umepata hasara nini maana si kwa kuniamkia leo hivi ndugu
Nimemzoea huyu ndugu yanguJoseverest mwehu achana nae
Mengi nayaacha chini ya carpet kipenzi
acha kukazia na wewe bbyshem
Hahahah ndio maana upendo wangu haukomi mamajamani bby ujue mie nina wivu mkali shauri yako utanipeleka hospital uck maana sio kwa maneno hayo unayotoa
Juzi kati alinilia tinted kama hanijui...ngoja nikamtafute ndichi kule chitchat au MMUNeybright anakutafuta hunter maana si kwa upepo huu
Aiseeeeejamani bby ujue mie nina wivu mkali shauri yako utanipeleka hospital uck maana sio kwa maneno hayo unayotoa
Daah kwahiyo nilikuwa situlii hunter unaniua nduguHongera Hunter kama umeamua kutulia
Haka kakaburi kadogo naomba tusikafukue ukamuumiza babyshem wanguDaah kwahiyo nilikuwa situlii hunter unaniua ndugu