Form six kuna somo tulisoma linaitwa GS kuna mambo tulijifunza katika maswala yanayohusu speech na public speaking
1.Avoid ambigous mannerism
eg kujikuna yl unaongea na vitu vinavyofanan na hvyo
2.Repetion ya words eg kwa mange yani yani yani yani yani mi sipublish comment yani yani yani walizotukana yani yani yani yani nasoma comments yani yani zaidi ya 500 yani yani kwa siku
Mimi alipoaanza tu kuziunganisha hizo ..yaani, yaani , yaani nikabadilisha channel!.hizo 'yaani' zilizidi kipimo....Devotha alikuwa anaongea kwa utulivu sana....amenivutia....
Namkubali sana Joyce Kiria pia ni kipaji!.
She is nobody!Naye Devotha Dandu kha sorry sijui mzungu wake anaitwaje ngoja nitumie Devotha dandu,du huyu dada anajimaintain kweli yani yupo vile vile tangie nimuone kwenye video ya lady jaydee usiusemee moyo safi sana devotha
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Yaani yaani yaani elimu bla bla bla! mwenyewe hasound kama hiyo elimu..... yaani yaani yaani etc. Wapambe wanamdanganya wenyewe wanaendelea na maisha kutwa nzima kujitangaza. Huduma kwa jamii sio kila mtu anaweza jamani hizi Foundation mnaanzisha ni kutaka kuwaibia tu watu Foundation Foundation kumbe ATTENTION.COM
She is nobody!
ivi blog yake ni ipi nikaone icho akifagiliacho?
Paskali vipi niaje mkuu? Bado unamkubali Shemeji Super woman?Namkubali sana Joyce Kiria pia ni kipaji!.
Paskali vipi niaje mkuu? Bado unamkubali Shemeji Super woman?
Bado namkubali sana tuu!, She is still a super woman as she used to be, kwani vipi?.Paskali vipi niaje mkuu? Bado unamkubali Shemeji Super woman?