Wanawake LIVE: Mange Kimambi azungumzia maisha yake binafsi, mipango na ndoto ya kuolewa na mzungu

Na nyie wa kufukua makaburi hamjambo!
 
mambo mengine tunafanya tukiwa bado wadogo,baadae tukiona tuliyoyafanya unawaza hivi nilikua mjinga namna hii,,,,,😀
 
Kwamimi namuona amemiss kitu lakini sijakijua ambacho kinamfanya aonekane fake I mean she is acting like, lakini iko siku nitakiona kwakuwa nimeanza kuangalia show zake
Uliona mbali aisee
 
Ivi ndoa inasomewa wapi mange mwenywe hajitambui
 
Kujua kuongea kizungu ndio kusoma mbona mnatia aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…