Wanawake live ni kama midahalo ya kidin ilivyo kuwa inaendeshwa na viongozi wa kidin

Wanawake live ni kama midahalo ya kidin ilivyo kuwa inaendeshwa na viongozi wa kidin

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
HIKI kipindi kimekuwa kikiwakandia sana wanaume kitu ambacho kimekuwa kikichochea sana kiburi/chuki kwa baadhi ya wanawake, kila ukikisikiliza ni wanaume wanafanya hiki mara kile mara sijui nini kiasi kwamba sehemu kubwa ya wanawake wanajengewa kiburi taratibu hadi itafika mahali heshima ambayo inakuwepo kati ya mwanaume na mwanamke katika ndoa kama ilivyo takiwa na vitabu vitakatifu inapotea taratibu,
Nikijaribu kutafakari nakumbuka hata ile ya dini ilianza hivi hivi chuki ikaanza kidogo kidogo hadi hapo tulipo fika leo nahisi kwa uchochezi unaoendeshwa na huyu mdada mara nyingi huwa ni kuwananga wanaume na ndio mana hata ndoa sasa hazIdumu sababu misingi yetu ya kidini tumeitupilia mbali badala yake tumeingiza siasa kwenye ndoa ni maoni tu .

NOTE:ikiwa mungu aliumba mwanaume na majukumu yake kama mwanamme na mwanamke na majukumu yake kama mwanamke hakuna mtu anaye weza kubadilisha uhalisia huu hata kwa nguvu ipi.
 
Uliza anaekiendesha ana status gani maana stress zake anazileta pale
 
Nikimkuta mke wangu anaangali hicho kipindi " nampa talaka".
 
yapo mafundisho mengine mazuri tu, kama ujasiriamali, wa dada wa ndani hupata nafasi ya kujifunza. Ila kuna siku nyingine huwa kuna mada za kitoto km cku wamealikwa wake wa wazungu km alivyowatambulisha muendesha kipindi, kina mange kimambi
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....
 
waacheni wanawake waangalie kwani inawasaidia kujitambua uenda tukaondokana na adui ccm kwani watakua wamejua haki zao kuna kile cha AFRICA MAGIC SWAHILI hua wadogo zangu wanaipenda sana.
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....

Hili ndio tatizo la kuvuta bangi kabla ya kula!.

Unaweza kuhisi umekuwa profesa! Kumbe bado muuza mkaa!
 
Mi naona ni vizuri tu,nadhani joyce lengo lake ni kutaka kumkomboa mwanamke kutoka utumwani,yaani kuwa tegemezi sana kwa mwanaume kitu ambacho ni kizuri,maana mi dada ya siku izi inapenda sana kuhongwa haipendi kujituma
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME
mmoja aliyemaliza std 7.....

Chonde chonde, sijawahi sikia mwanamke kapewa mimba na mwehu mwanaume. Ila tumeona na kusikia kina mama wehu/wendawazimu wamepewa MIMBA na wanaume wenye akili timamu. Soo sijui nani ni mwendawazimu kwa asili kati ya men and women
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....
bila shaka unaowazungumzia hapa ni 1. mama yako mzazi 2. dada zako na ndugu zako wanye jinsia ya kike wote coz mi nna wajua wanaakili sana 2.
sijui umepigwa kibuti so unajikuta unachukia wanawake wote pole ndo dunia ndugu.
 
bila shaka unaowazungumzia hapa ni 1. mama yako mzazi 2. dada zako na ndugu zako wanye jinsia ya kike wote coz mi nna wajua wanaakili sana 2.
sijui umepigwa kibuti maana so unajikuta unachukia wanawake wote pole ndo dunia
ndugu.
Haaa haaa. Limemganda
 
Majanamke ndio yanayo angamiza taifa hili kwa sababu ndio mtaji wa Magamba..yenyewe yanakopeshwa khanga na kilemba cha njano yanalipa kura..na kwa sababu wao ndio majority na brainwashed na ni wepesi kudanganyika then magamba yanatumia mwanya huo kuliangamiza taifa letu...WALAANIWE WANAWAKE WASIO JIELEWA...NA MAGAMBA WOTE..
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....
duuuuuuuuuu!!!!!!! hii ni zaidi ya zaid but any ways ndivyo uonavyo lakini duuu!sudhani kama wanawake wakisoma hapa watarudia mara mbili kusoma nahisi wataingia barabarani siku hiyo hiyo
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....

Nafikiri unahitaji tiba ya akili. Pole kwa kuumizwa na wanawake.
 
Mimi naamini MWANAMKE ni MWENDAWAZIMU kama sio CHIZI by nature....MWANAMKE mwenye pHD akili zake ni sawa na mtoto wa kiume aliyemaliza Chekechea.....Vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa na kichwa cha MWANAMUME mmoja aliyemaliza std 7.....

du umeua sana aiseee....wakikujua tu unapelekwa TNGP au TGNP hata nimesahau jina la hii organisation fasta aisee.....
 
Back
Top Bottom