Wanawake mabilionea Kenya

Hongereni wakenya....this shows how commited you are katika kutafuta pesa.....Watanzania tujifunze tuache majungu na chuki
 
Mfumo wenu my foot [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tz itakua tabu kuwapata maana hata wanaume wa Kitanganyika hawapo, labda wahindi na waarabu.
Hivi ninyi mwaona tajiri mpk atambulike????
Kuna matajiri fedha wanaficha ndani na wanazoziweka hadharani ni ndogo.
Ila walizozificha ndani ni kufuru.
Usiwa undermine watu watz.Hela hatuweki sana bank kijana.
 
Hivi ninyi mwaona tajiri mpk atambulike????
Kuna matajiri fedha wanaficha ndani na wanazoziweka hadharani ni ndogo.
Ila walizozificha ndani ni kufuru.
Usiwa undermine watu watz.Hela hatuweki sana bank kijana.

Kama kweli basi hao sio wazalendo tena wafungwe jela maana wanakwamisha nchi na kuiacha iendelee kuteseka kwenye umaskini wa LDC. Kuficha hela kwenye magodoro ni ujinga mkubwa na uhujumu wa uchumi, labda ndio maana kuna kipindi rais wenu alitishia kubadilisha noti kama tulivyofanya sisi.
Hicho sio kitu cha wewe kututambia hapa, ulimbukeni wa hali ya juu.
 
Umesema kweli kaka nimesapoti kauli yako.
Naona jamaa angetishia km ninyi ingesaidia.
Maeneo ya Temeke kuna watu tena waswahili wametulia hawana neno ila asee wameficha hela ndan sio poa.
Hapa Dar hakuna maeneo nyumba zinaongoza kwa kuungua km wilaya ya Temeke.
Na ukitaka kujua hii familia ina hela subiri iunguliwe nyumba ndio utaona makablasha yanafukuliwa kutolewa ndani kuingizwa ktk gari kuhamishwa.Yani utasema wanaishi mafisadi haya maeneo lakini huwadhanii.
Km hz hela zingeliingia bank ingekua vema kiuchumi na kuzificha ndani kweli mkuu huku ni kuhujumu uchumi nakubaliana nawe 100%.
 
Mimi siongei kinafiki, nawasifu sana wanawake wa kikenya kwa utafutaji.

James Mwangi namfahamu kwakuwa nimefanya kazi na Equity bank at Kimathi street, lakini sikujua kama mkewe pia ana uwekezaji wowote.

Btw I had my GF from Kiambu....tuliachana ila si kwa ugomvi.

Tatizo lililopo kwa some women wa Kenya ni hawana kujali kutoka moyoni, mapenzi ya kweli rather yameegemea zaidi kwenye pesa tu, na mapishi mazuri huwa hawazingatii ama hawajui.

Lakini kwny suala la kusimamia miradi na management in general nawapa namba 1.
 
Hivi ninyi mwaona tajiri mpk atambulike????
Kuna matajiri fedha wanaficha ndani na wanazoziweka hadharani ni ndogo.
Ila walizozificha ndani ni kufuru.
Usiwa undermine watu watz.Hela hatuweki sana bank kijana.
Sisi wabongo utajiri ni wa kijanjajanja ndo maana zinafichwa ndani. Kama ni pesa imepatikana katika namna inayoeleweka ni lazima iendelee kuwa kwenye mzunguko kuwasaidia wengine. Na hao wengi wao ni wanasiasa au waliokuwa na mahusiano na wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…