Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

Kingozi kile kinausika kwenye utiaji wa dawa ili kidonda kikauke siezi ingia deep sana ila ni hivyo tu ..........

"Hatikvah"
 
Kwa wale wote wadada mnaotaka Rafk wa kimasai njooni PM. Me ni masai Asili
 
Wanaume wa kimasai wanakuwaga na hasira sana sijui ni kwann
 
For sure naona umeleta uzi wa kejeli nadhani mood anatakiwa afanye kazi yake ipasavyo.
 
Wanaume wa kimasai wanakuwaga na hasira sana sijui ni kwann
Ulaji wa vyakula vya mifugo km maziwa na nyama. Pia asili itokanayo na malezi.

Ila pia mtu mweusi muafrika kwa asili yake ana 'emotions' sana kulinganisha na mtu mweupe
 
Wamasai wana karisma kubwa sana kwa wanawake wa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…