Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

Aliyekuwa laazizi wangu hakunijulisha hayo yote. Asanteeehh.
 
Pale mwanamme anavojigeuza mwanamke.
 
Wewe ni ke?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Wamasai tuna gegedeo refu balaa,Kuna chaliangu alikua anatafuta dawa za kurefusha gegedeo,Akapata kwa mmasai,mmasai anamwambia jamaa uku akimwonyesha gegedeo lake kwamba akitumia dawa itakua kama yake,,
Haaaaaaaaaa ikawaje mkuu? Masai alimsaidia jamaa?

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…