Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

I'm sorry Ushimen, nisamehe. Kuna mtu kanikera Pm. Nisamehe bure.
Ili nisijiweke mbali na Mungu, nimeamua kukusamehe bure kabisaaaa, na uwe mwenye amani tele...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Sijajua kuwa mnawapenda wamasai wamejaa humu Arusha.
Njooni nahela ya lodge
 
Jamaa ni Me....anazingua......hebu lipia Tangazo
Acha umbeya, ninyi ndiyo mnafanya Uzi huu umepoteza mwelekeo. Nyinyi ndiyo kina Thomaso mnataka mtu aanike nyeti zake kama mdau moja hapo juu kaweka picha za uchi humu na kuharibu mudi ya watu wastaarabu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€labda mudi yako
 
KWA HIYO MKUU UNAPENDA MAGOVI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…