Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

Uzuri wa Jf banaa vijana wa humu wote sasa hivi na wao watajidai ni wamasai.
Kwa hio Freed we mmasai wa watu ulimpendea kinyama tu?

Maendeleo hayana chama
Kwa kweli ilichangia kunipa ladha japo kuna mengine mengi tu niliyapenda kwake.
 
Kwa kweli ilichangia kunipa ladha japo kuna mengine mengi tu niliyapenda kwake.
Shaku Shaku ya masai, oooohhh masaiiii
Km unachuma papai, oooohhh papai ili
Nmejikuta tu nmekawaza haka kanyimbo.

Maendeleo hayana chama
 
Uzuri wa Jf banaa vijana wa humu wote sasa hivi na wao watajidai ni wamasai.
Kwa hio Freed we mmasai wa watu ulimpendea kinyama tu?

Maendeleo hayana chama
Hahaaaaa,,,na wote wanavinyama😂😂😂
 
Hahaaaaa,,,na wote wanavinyama[emoji23][emoji23][emoji23]
Jf noma sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi huaga nawaangalia tu
Hlf na sema hiiiiiiiiii
Yaaya geeteeeee

Maendeleo hayana chama
 
Jf noma sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi huaga nawaangalia tu
Hlf na sema hiiiiiiiiii
Yaaya geeteeeee

Maendeleo hayana chama
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,we huna kinyama??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,we huna kinyama??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hpn kwa kweli mi changu kilifyekelewa mbali

Maendeleo hayana chama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hpn kwa kweli mi changu kilifyekelewa mbali

Maendeleo hayana chama
We naweee,,,tutakutoa jf,wenzio wanavo hata kama hawanaaaa,,,ooooh
 
We ni KE au ME ???

Na test mitambo
 
Ebu julisha kwanza ww ni me au ke kulingana na post zako zamwanzo. au ni Men mwene michezo ya Amberutty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…