Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Kazi ya sanaa yoyote ni pamoja na kutoa ujumbe na kuburudisha hadhira,
unaweza sema hupati ujumbe lkn watu wanaburudika

Oh nilijua kama atakuwepo mtu basi itakuwa ni wewe Dena Amsi.

Umesikia lakini vigongo vipya vya mamaa Isha Mashauzi aka jike la Simba linalong'ata aang'h aang'h?
Jamani anafanya utundu nani tena?? Si huyu hapa haya tema mate tumchape.......
 
Rindima Rindima Rindimaaaaaa! :music:

wengine si wanawake, vikwekwerekwe,
Dereva wa kipanya, polepole mkono na paja,
dereva sogea kwa huko, pole pole mkono na paja!
 
sijisikii amani napocheza taarab

He! pole dada

mi huwa sijui majina ya nyimbo na sometimes wala sifuatilii msg iliyopo kwenye wimbo
lakini sasa pale kwenye vyombo paleeeeeee vinapochanganya
ndo panaponipagawisha sanaaaaa'

hiv kupenda taarabu ndo uswahili? bongo flava je utoto au? ehh
 
Ume generalize saana... mimi ni bonge na taarabu sigusi...lol
 
Ume generalize saana... mimi ni bonge na taarabu sigusi...lol

Asha wewe huupendi huu mziki wa mwambao?
lol..itanibidi nipate kazi ya ziada ya kukupeleka kwenye hiyo miziki,
najua utaipenda one day!!!!
 
Mi napita tu,ila ukweli ni kwamba Taarabu ni njema na inapendwa na wote si wembamba wala wanene...Aramba aramba tena ham ham ham x 2
 
Asha wewe huupendi huu mziki wa mwambao?
lol..itanibidi nipate kazi ya ziada ya kukupeleka kwenye hiyo miziki,
najua utaipenda one day!!!!

To me Bacha mwambao sounds better... hio naipenda...lol
ila taraabu SIPENDI...
 
To me Bacha mwambao sounds better... hio naipenda...lol
ila taraabu SIPENDI...

OK, itanibidi siku moja nikupeleke Travertine,
au Dar West Park, nadhani unaweza ukaburudika vizuri sana,
Kama unaupenda mziki wa mwambao ni aghalabu sana,
kukuta huu mziki wa taarabu unauweka kushoto!!!!!!!
 
amekataaa kona akakubali penati................
 
OK, itanibidi siku moja nikupeleke Travertine,
au Dar West Park, nadhani unaweza ukaburudika vizuri sana,
Kama unaupenda mziki wa mwambao ni aghalabu sana,
kukuta huu mziki wa taarabu unauweka kushoto!!!!!!!

Naona umenipata.... Asante... the above sio wazo baya....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…