Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

mmh! Celine Dion na taarabu? wapi na wap? wimbo upi? Alafu celine dion hana wowowo!
 
Taarabu ni mziki wa wajinga, ulitoka kwa washamba wa Misri na kutua Unguja, huko Misri sasa hauko, huku kwa sababu aliuleta mwarabu basi taarab inaendelea.
Mziki wa wanene hasa waliovimbiwa na wenye makalio ya mchina, kuna siku Magomeni nimepatwa na kichefuchefu.
Pia Mziki wa *******.
 
Mkuu Pharaoh kweli wewe wa misri, umeua kinyama!
 
hapo tupo wengi mtu mzima,
ratiba zote za jahazi na East African Melody zipo hapa!!!!!!!

Raaaaaaaaa raaaaaaaaaa.............ebana kumbe mzee mzima Bacha na wewe umo eeeh? Hiyo baab kubwa.
 
taarab ikichanganya utacheza upende usipende.mimi hunikosha hasa,ila ukienda jahazi,ni kama kuna fujo.wanaume kibao kuliko wanawake.ukianza kucheza kwa kujitikisa{unajipa raha mwenyewe}huwa naudhika utakuta mwanamme anakaa nyuma yako kama anakukobelea.
 
haa haa haa! Kisukari utaniua kwa vicheko aisee!
 
Nimegundua wapenzi wa taarab ni wengi sema tu wanaona noma kukubali.
 
Mi nazani kwa sababu stail ya kucheza taarabu kwa sasa imekuwa ikitumia mtindo wa kutingisha makalio kwa sana(mtindo kama wa kupinda mgongo) na wanawake wanene wanayo hayo makalio ya mtindo huo-kwa hio kwenye taarabu imekuwa ndio uwanja wao wa nyumbani
 
Mi napenda kucheki wanawake vibonge, wenye makalio wakimwaga radhi (wakitingisha na kuchezesha makalio yao)realy nainjoy sana!
 
Mi napenda kucheki wanawake vibonge, wenye makalio wakimwaga radhi (wakitingisha na kuchezesha makalio yao)realy nainjoy sana!

Kweli vidume tunatofautiana, sasa wewe makalio makubwa yanakusisimua nini?
 
Yanavyotetemeka bwana, navuta picha km namtokea kwa nyuma!
 
mama yangu mdogo anamahaga basi anapenda taarabuyo duh!
 
Mie ni mwembamba na naipenda taarab mbaya, hapa ofisini nimenunua kiredio kwa ajili ya taarab.ikifika saa tatu clouds, ikifika saa saba times mpaka kumi. hapo narudi jahazi nalimalizia njiani to home. umeona wewe, rudia research yako upya
 
Napenda taarab mwimbo mama nipe radhi kaimba sijui nani mashauzi, na mwingine una kinanda kizuri mwishoni tililili tililili tililili tililili hahahahahaha hapo chacha kinandaaaaaaaaaa. tarab nzuri sana kwa mazoezi ya nyonga
 
Mc Babu Ayubu anakwambia Kiingereza kingi bila pesa ni makelele.....teh teh teh. Aaah mirindimo ya Pwani raha sana aisee.
 

kisukari inaonyesha una makalio fulani ya kiuchokozi hivi....lol..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…