Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Napenda taarab mwimbo mama nipe radhi kaimba sijui nani mashauzi, na mwingine una kinanda kizuri mwishoni tililili tililili tililili tililili hahahahahaha hapo chacha kinandaaaaaaaaaa. tarab nzuri sana kwa mazoezi ya nyonga

hapo ndo napokukubali gaga,
moyo ukishapenda..................safi sana kwa kuikubali taarab lol....
 
Nyani Nyabu ulisema wapenda taarabu mpo wengi, Blackberry anaratiba kabisa ya vipindi vya redio duh, na anasikiliza ofisin kazi zinafanyika kweli? Hao mabosi wake si anawatega sana kwa kunengua huyo mwanamke duh! Taarabu ukiendekeza kweli unakua zuzu mdogowe zoba!
 
Kweli vidume tunatofautiana, sasa wewe makalio makubwa yanakusisimua nini?

ha .........wewe Abdulhalim mwanaume hupaswi kutamka haya maneno mbele ya watu,
watakucheka wenzio!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Aaah bana usitutukane sie wapenzi wa Taarab bana. Kwa taarifa yako wengi wetu ni vichwa kweli kweli na tukianza kuanika resume zetu hapatatosha hapa.

Heshimu mapenzi ya wenzio kama sie tunavyowaheshimu ma barobaro na nguo zao za kubana.
 
hapo ndo napokukubali gaga,
moyo ukishapenda..................safi sana kwa kuikubali taarab lol....
Yaaani taarab inafurahisha mzee Yusuph anapenda raha huyooo, mara anabebwa, anapakatwaa analishwa kila kitu ye afanyiwa tu
 
Pole weee kazini kwenu mnakatazwa kusikiliza redio? mie ofisini kwangu tunasikiliza tu tena tushazoea na kazi napiga kama mchezo na JF naingia kama hivi.kwani imekuwa shamba hili jembe mkononi basi hushiki kitu kingine ni kulima tu
 
Blackbery taarabu haisikilizwi tu inachezwa pia kwa wakati huo huo. Mambo ya kukunja mugongo mugongo na kugeuka kutazama wowowo lako huku umeshika magoti wakati huo huo unyooshe kidole juu duh? ofisini kwenu wanaruhusu yote hayo? Basi sina shaka wakuu wako wa kazi nao huinjoy ukatapo mauno yako au nao pia ni wapenzi wa hyo kitu so mmejenga ile political scientists tunaita "spirit de corp or a group spirit" ofisin kwenu!
 
Nyani ngabu kumradhi mkubwa, nimepitiwa ulimi. I didnt mean it, tupo pamoja!
 
Bwan Juma mbona kulala, hapana kulala nautia kasi, alililiii. Twaarab hata uwe kimbau mbau ukijua kujishebedua tu tosha.
 
Mfukoni una milioni mbili halafu unapanda daladala….ahahahahahaaaaaa
 
Bwan Juma mbona kulala, hapana kulala nautia kasi, alililiii. Twaarab hata uwe kimbau mbau ukijua kujishebedua tu tosha.
 
Na kiwowowo manshallah mungu kanijalia na mguu wake, natingisha taratiiibu nyonga na taarabu mtoto wa kike narindima kipwani ati utantaka
 

Music for Lazy
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
mpe ushauri wa kwenda travertine leo ijumaa atakuja na jibu muafaka.ila tu akumbuke kilichompeleka pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…