Nahman
JF-Expert Member
- Oct 4, 2023
- 599
- 1,749
Unaweza kushangaa ikiwa hufahamu hili,
Ikiwa mwanamke atapenda ufujaji na matumizi yako mabovu ya fedha basi kuwa na hakika ya kuwa uko na mwanamke mjinga na malaya!
Wanawake makini na wenye akili hupenda mwanaume mwenye matumizi thabiti ya fedha, mwenye mipango na maendeleo chanya!
Mwanamke mwenye kuwaza na kufikiri vyema kamwe hawezi kudumu na wewe.
Sio mara zote mwanamke atakuomba hela akitaka umpe.
Sikiliza, atapima sababu ulizompa na uwezo wako wa kufikiri kisha atapata majibu ya kuwa wewe ni MJINGA!
Halafu kuna wewe mjinga mwingine ambaye👇🏻
Rafiki zako wanakuita tajiri na wewe usivyo na akili unacheka meno yote nje ukidhani una maana.
Wenzio wanafurahia ujinga na upumbavu wako.
Geuka nyuma.
Watazame. Wenzio hawakununulii pombe na hawafuji pesa zao hovyo.
Wana maendeleo, wanafanya mambo kimya kimya huku wakikuacha na 0.
Wako na wewe kwa macho ya nyama, wamekuacha mbali kwenye kufikiri na kufanya maamuzi.
Shtuka, kaa kijanja.