wanawake malaya wapo na katika Biblia inawaita makahaba, huo ndio ukweli huwezi kuukwepa mithali 7.10
sifa kuu ya mwanamke malaya ni kutoridhika na chochote alichonacho ikijumuisha mume wake na ndio maana anaenda kufanya uzinzi/uasherati/zinaa na mwanaume mwingine akidhani atapata raha zaidi ya ile anayoipata kwa mumewe.
Wanawake malaya tubuni dhambi zenu na kuokolewa ili mpate kumrudia Mungu awaondolee pepo la ngono na ukahaba na kuwapa raha ya milele someni ufunuo 21.8, mithali 28.13, luka 1.77, yohana 1.12