Wanawake matumiz unayojutia kutumia kwa ajili ya kumfurahisha boy wako

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
13,956
Reaction score
14,032
Natumai jumapili ya leo iko njema sana
Kwenu wakubwa kwa,wadogo.

Haya kinadada hebu tiririken hapa
N matumiz gan unayajutia uliwah
Kumhudumia mwanaume wako
Leo ukikumbuka huamin kama n ww
Ulifanya hvo[emoji3][emoji3][emoji3]

hvo example iko hapa [emoji116]


Chitchat time
 
Teh teh namini nazimaindi hizo nafasi..
 
Inawezekena lakini ngumu huku kwetu warembo wanaomba mpaka hela ya nauli

How comes aingie cost kwa ajili yako labda kwa watoto Wa kishua
 
Out of Topic: I gave while enjoying the love, no any regrets at all.
 
.tnemmoc ruoy htiw vul ni llef tsuj ylliL nailiL ahahahaH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…