Funguka tu au bado upo upo kama mimi....wanawake yenyewe hawaeleweki siku hizi
Tatizo unaongea kirahisi sana wakat nko seriousnjoo uchukue,,, wa nguvu
Oooh hujawahi kunielewa wapikama wewe usivyoelewekaga
Aisee kazi kwelikweli mimi naeleweka sema hujanielewa tukm siye tusivyoeleweka
Aisee kazi kwelikweli mimi naeleweka sema hujanielewa tu
Wooooiihata siye wanawake tunaeleweka