My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Wanawake kuna muda mnakua hamjielew nini hasa mnataka,na ifike mahala tumalize baadhi ya mijadala iloyokua inajirudia humu jukwaa la MMU,
Naomba mnyooshe maelezo apa kabla hatujavuka mwaka tujue nn mnataka
1) Mnataka Kuolewa ama Hamtaki?!!
2)Mnataka Pesa kwa mwanaume ama Mapenz ya kweli?!!
3)Mnataka MaChurch Boys ama Wahuni?!?
4)Mnataka Black Panthers Ama Light skins
5)Mnataka Show kila Siku ama mara moja kwa week?!!
6)Mnaotoa mimba kila siku,mnataka kukamilisha nini ili mzae,eti nyie?!!
7)Eti we mwanamke bado unataka kuwa peke yako ama tunakubaliana mtavumilia michepuko yetu?!!
8)Bado mmepanga kuendelea kuchungulia simu zetu mpk 2023?!!
Mimi binafsi SON OF ANDREW napenda Miss Bantu mizigo shehe wangu muhimu,mwny rangi ya chocolate kuhusu tabia zozote tu mana sina mpango wa kuoa mimi