Nina wasiwasi umechimbwa mkwala na your hubby, yaani wewe Ndyoko, ukurupuke tu na kutumwagia mijisifa namna hii! hapa kuna namna, au kuna kuna mwana JF mwenye uke unampigia chapuo humu, hii sio bure kabisa.. mh!
Mwenye akili timamu huwezi kumrubuni na kumbadili mawazo kirahisi kama alivyofanya eve na devil.Kwa sababu mwanamke ana akili sana ukilinganisha na mwanaume..............................
Nina mtazamo tofauti,mwanamke unaweza ukamthamini,ukampa kila anachohitaji,penzi la kutosha,majumba,magari ya kifahari,ukawa karibu naye muda wa kutosha na pia ukawa mwaminifu 100% lakini mwisho wa yote atakufanyia jambo baya na la ajabu.Ukimwuliza sababu ya kufanya hivyo,jibu ni SHETANI tu.mwisho wa siku mwanaume ndio anamfanya mwanamke kuwa mgumu kama alivyo i.e mwanamke huishi na kuwa na tabia kulingana na mazingira anayokuwa at a particular moment and time. Ndio maana wanawake wanasurvive matatizo na stress kibao na wengine kufikia kusema au kudhani kuwa wanawake wengi wana mioyo ya chuma au roho ya paka.
Kwa hiyo basi, if treated well, mwanamke ni mtu mzuri sana na hakuna mwanaume atapenda bila ishi nae. Lakini anapokuwa mistreated, tena emotional and physical mistreatment, anaevolve adaptation mechanisms, ambazo mwisho wa siku anakuja onekana ni mbaya.
Kiukweli mbaya zaidi ni yule anayechochea na kusababisha huyu mwanamke kuonekana hatari.
Nina mtazamo tofauti,mwanamke unaweza ukamthamini,ukampa kila anachohitaji,penzi la kutosha,majumba,magari ya kifahari,ukawa karibu naye muda wa kutosha na pia ukawa mwaminifu 100% lakini mwisho wa yote atakufanyia jambo baya na la ajabu.Ukimwuliza sababu ya kufanya hivyo,jibu ni SHETANI tu.