Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Kijana wa watu amekukubali vizuri tu. Lakini baada ya muda unaanza kuleta nyodo. Simu ukipokea uko busy, SMS unajibu shortly.
Haya sasa, kijana anaamua kukuchana kuwa umechange hivyo kila mtu ashike 50 zake. Basi unalia wee, unaomba misamaha kibao na ahadi kibao ukidai unampenda sana.
Nyie viumbe mnachanganya sana!!
Haya sasa, kijana anaamua kukuchana kuwa umechange hivyo kila mtu ashike 50 zake. Basi unalia wee, unaomba misamaha kibao na ahadi kibao ukidai unampenda sana.
Nyie viumbe mnachanganya sana!!