Wanawake mkifatwa mnaleta nyodo mkiachwa mnaanza kulia mtu arudi, mna shida gani?

Sisa Og

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
201
Reaction score
504
Kijana wa watu amekukubali vizuri tu. Lakini baada ya muda unaanza kuleta nyodo. Simu ukipokea uko busy, SMS unajibu shortly.

Haya sasa, kijana anaamua kukuchana kuwa umechange hivyo kila mtu ashike 50 zake. Basi unalia wee, unaomba misamaha kibao na ahadi kibao ukidai unampenda sana.

Nyie viumbe mnachanganya sana!!
 
Tatizo mnawashobokea sana wanawake ndio maana wanawaletea nyodo na kuwaweka friendzone

Achana naye kumbuka wanawake wana silaha nne kuu za kuwacontrol wanaume mabwege
1. Sex
2. Machozi/kujiliza
3. Maneno matamu
4. Drama

Usinase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…