Wanawake mlijibu hili swali

Wanawake mlijibu hili swali

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Unamtaka mwenye Range Rover, wakati baba yako
ana baiskeli.
Kwa nini usiwe mpole kama mama yako????
 
Naona maumivu yamewazidi wameenda kumuona daktari kwanza.
 
Nanukuu jamani: kuzaliwa na baba masikini ni bahati mbaya ila kuwa na baba mkwe maskini ni uzembe. Sioni ajabu mwanamke kumtaka mwanaume mwenye gari wakati familia yake haina hata guta. Hivyo msituhukumu na kutusemasema hovyo jamani.
 
Back
Top Bottom