STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,076 Reaction score 17,247 Aug 12, 2016 #1 Unamtaka mwenye Range Rover, wakati baba yako ana baiskeli. Kwa nini usiwe mpole kama mama yako????
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,729 Aug 12, 2016 #2 Naona maumivu yamewazidi wameenda kumuona daktari kwanza.
Lenyox Senior Member Joined Dec 7, 2011 Posts 174 Reaction score 360 Aug 12, 2016 #3 STUNTER said: Unamtaka mwenye Range Rover, wakati baba yako ana baiskeli. Kwa nini usiwe mpole kama mama yako???? Click to expand... Hv chuo unafungua lin? Na sup je mnafanya lin au matokeo bado?
STUNTER said: Unamtaka mwenye Range Rover, wakati baba yako ana baiskeli. Kwa nini usiwe mpole kama mama yako???? Click to expand... Hv chuo unafungua lin? Na sup je mnafanya lin au matokeo bado?
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Aug 12, 2016 #4 Mmmh. Yaani wewe kila siku una jipya.
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,272 Aug 12, 2016 #5 emmyta said: Mmmh. Yaani wewe kila siku una jipya. Click to expand... Unamuonea, ni kila dakika sio kila siku. Ana mashine ya kuanzisha nyuzi
emmyta said: Mmmh. Yaani wewe kila siku una jipya. Click to expand... Unamuonea, ni kila dakika sio kila siku. Ana mashine ya kuanzisha nyuzi
frem zero JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 595 Reaction score 875 Aug 12, 2016 #6 Nanukuu jamani: kuzaliwa na baba masikini ni bahati mbaya ila kuwa na baba mkwe maskini ni uzembe. Sioni ajabu mwanamke kumtaka mwanaume mwenye gari wakati familia yake haina hata guta. Hivyo msituhukumu na kutusemasema hovyo jamani.
Nanukuu jamani: kuzaliwa na baba masikini ni bahati mbaya ila kuwa na baba mkwe maskini ni uzembe. Sioni ajabu mwanamke kumtaka mwanaume mwenye gari wakati familia yake haina hata guta. Hivyo msituhukumu na kutusemasema hovyo jamani.