Wanawake mlio kwenye ndoa badilikeni, mnachokifanya mnadhalilisha sana waume zenu.

Wanawake mlio kwenye ndoa badilikeni, mnachokifanya mnadhalilisha sana waume zenu.

Siasa Basi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
1,493
Reaction score
4,281
Ndoa si lele mama, ili iweze kustawi na kudumu lazima kila mwanandoa anapaswa ajifunge kwa dhati kuitumikia ndoa hiyo. Kila anaeingia katika mkataba wa ndoa anaingia na matatizo yake binafsi. Na hakuna binadamu aliyekamilika kwa vyote, wengine wafupi, wengine warefu, wengine wanene, wengine wembamba, wengine wazuri , wengine wabaya, wengine weupe , wengine weusi, wengine wapole, wengine roho mbaya kama scorpion, wengine wakarimu, wengine wachoyo, orodha ni ndefu sana.

Kuna hii tabia mbaya sana kwa wake za watu wanaotafuta mapungufu ya waume zao kisha kuyashikia bango. Na bahati mbaya hawana siri tena, kila mtu anayepita mbele yao wanaropoka yote. Mnatia aibu sana badilikeni, mambo mengine mnazungumza wawili ndani na sio kuyatoa nje kwa wapita njia.

Kuna wake za watu wamenifuata kwa nyakati tofauti kuomba ushauri juu ya waume zao hasa wawapo kitandani. Mazungumzo yetu yalikuwa hivi:

Mke wa mtu 1" Siasa basi yaani mume wangu hakuna kitu kabisa, usiku ananipiga kimoja anaanguka kule anaanza kukoroma nalala na nyege zangu, wakati mwingine anapoamka asubuhi anakurupuka ananipiga kimoja anakwenda kazini nabaki na nyege tele sijui nifanyeje!"

Siasa basi " Kwani wewe unataka upigwe vingapi?

Mke wa mtu1" Hata nikipigwa kimoja basi kiwe cha ujazo jamani, yeye hata dakika 5 nyingi'

Siasa basi" umeshawahi kumwambia kuwa hakufikishi?"

Mke wa mtu 1" Mhhh nitaanzia wapi, naogopa hata kumwambia, si ataniona malaya."

Mke wa mtu 2 " Siasa basi, mume wangu jamani anakibamia, yaani hata akiingiza sisikii chochote , na wala hanifikishi popote, bora nijitie hata vidole"

Siasa basi" wakati unaolewa hukujua kuwa ana kibamia, leo ndio unakiona?

Mke wa mtu 2 " unajua siasa basi, mwanzo kidogo alikuwa afadhali, sasa hivi ndio kimekuwa kidogo zaidi, cha ajabu anaweza kumaliza hata mwezi hajanigusa kabisa, ndoa kwangu imekuwa ngumu sana, siwezi kuvumilia kwa kweli, napewa kila kitu ninachotaka, na mume wangu kama unavyomuona ni tajiri sana hapa Dar"

Haya ni maongezi yetu machache na wake hawa. Katika mazungumzo hayo utabaini wana matatizo kabisa. Kama unataka kuona ndoa yako inakuwa na furaha epuka tabia ya kuchokonoa kasoro za mume wako. Puuza kasoro zake, usimlinganishe na mwanaume mwingine, inawezekana pia hao wanaume wakawa na kasoro ambazo mume wako hana. Tulia ridhika na mazuri yake. Kuhusu suala la kupeana raha muwapo faragha, kaa nae vizuri mwandalie mazingira mazuri na tulivu kisha mwambie kwa utaratibu kwa mahaba. Lazima atakuelewa tu, mtasaidiana pamoja kuondoa tatizo.

Kuna mambo mengi sana yanayopelekea upungufu wa nguvu za kiume kufikia kushindwa kukufikisha. Yawezekana ikawa wewe ndiye tatizo, akitoka nje anapiga mechi na mashambulizi yake ni ya hatari. Badilikeni kaeni na waume zenu myamalizie ndani na sio kuyatoa nje hovyo.
 
Siku zote mwanamke hupenda shortcut ktk kutatua tatizo.
Na hayupo tayari kuongea na muhisika bora akalizungumze na watu wengine baki na siyo mhusika.
Yupo radhi acheat, na akikamatwa akaachwa anaanza kumlaumu mume wake kwa kumuacha na anaona km anaonewa
Hapa ndiyo huwa nashindwa kuwaelewa wanawake.
 
Dah! Huyo mwana-"mke wa mtu1" ana lugha ya kihuni kinoma. Ukijihusisha na wa aina hiyo, jiandae kabisa kuanikwa.
 
Back
Top Bottom