Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

Kwa nn wakati ule mwanamke anaoneshwa Pete na Mwanaume ili awe 'engaged' huwa anaruka ruka na kulia kwa furaha kwa sababu anatarajiwa kuvishwa wakati huo anajitoa ufahamu kuwa maisha haya yana changamoto nyingi ambazo hawezi vumilia?
 
Pia tambo na majivuni ya mwanamke aliye ndoani kwa wadada wasioolewa.
Utakuta mwanamke aliye ndoani kutwa kuwasimanga wasioolewa na mwisho wa siku tunaona bora tutembee na waume zenu na kuwapa msivyowapa ili kuwakata ngebe na majivuni yenu nyie wake mlio ndoani.


Hivyo mnavyowa pa ninyi wa nje wasivyopewa ndani ni vitu gani!? Na wajuaje kama hapewi ndani?!
 
Hueleweki unataka kusema nini, umechanganya madude mengi kweli, unawaonya??unawaasa?? unawatisha??Unawataka wasipost pete zao??Unataka wapambanie ndoa zao??Unawataadharisha kuwa uko jirani unajiandaa kuchukua waume zao???
Nini hasa unataka kuwaambia??
 
Nisaidie mkuu ,mleta mada nimuoe , ili apunguze spana za namna hii
Hafai kuwa mke. Trust me๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Nimesikia la mkuu ,maana asiesikia la mkuu .......
 
Mchepuko wa kupiga piga tu
 
Mwanamke asiyependa kujitafutia pesa zake mwenyewe na kujihudumia,basi lazima sehemu zake za siri ziteseke
Siku hizi kuna wanawake wanafedha na still bado wanang'ang'ania mume wa mtu na tena wanahonga. Halafu hii tabia maeneo ya Pwani ni kawaida na wanawake wanaona kama kitendo cha kijasiri kutoka na mume wa mtu na wana nao hawana hiyana wana tembeza rungu ila mke wake hamuachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ